Maelezo ya picha, Jinsi dagaa wanavyotumika katika uvuvi
Maelezo ya picha, Kundi la kinamama mjini Bagamoyo nchini Tanzania wamejikita katika biashara ya kuuza tondo aina moja wapo ya jongoo bahari ambao hutumiwa kama chakula na jamii ya pwani.
Maelezo ya picha, Tondo
Maelezo ya picha, Maandalizi ya tondo baada ya kuchemshwa