Tuzo za wanyama pori wenye kuchekesha kwa mwaka 2019

Hizi ni picha ambazo zilishinda tuzo za wanyama pori wenye vituko licha ya kuwa picha hizo kutoonekana kuwa na taswira ya kuchekesha.

Picha inayomuonyesha simba mdogo akicheza ilipigwa na Sarah Skinner huko Botswana.