Picha bora zaidi kutoka barani Afrika mwaka 2021

Mkusanyiko wa picha bora zaidi kutoka barani Afrika mwaka huu:

Short presentational grey line
Ethiopian Orthodox priests light incense.

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Padri akiwasha uvumba katika jiji la Gondor mwezi Januari wakati wa sikukuu ya kanisa la Timek - Orthodox wa Ethiopia ambayo inaadhimisha ubatizo wa Yesu katika Mto Yordani.
Rais wa zamani wa Ghana Jerry John Rawlings alifariki Novemba 2020 akiwa na umri wa miaka 73 na mazishi yake yalipangwa kufanyika Desemba 23, 2020 lakini yaliahirishwa, kutokana na kile wizara ya mambo ya nje ilichokiita "hali zisizotarajiwa".

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Pia mwezi Januari, ibada za mwisho zilifanywa kwa rais wa zamani wa Ghana, Jerry Rawlings, ambaye alifariki akiwa na umri wa miaka 73 Novemba 2020 .
Children smile holding their sweets.

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Tukiwa Liberia, Mwaka Mpya huleta zawadi na tabasamu baada ya kiongozi wa jumuiya, Janet Sharty kuwagawia watoto popcorn, pipi na biskuti.
Short presentational grey line
Mayar Sherif stares intently at the ball as she hits a return.

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Februari ilishuhudia Mayar Sherif akiandikisha historia ya kuwa mwanamke wa kwanza wa Misri kushinda taji la Grand Slam katika mechezo wa tennis Grand Slam kutokana na utenda kazi wake mzuri katika mashindano ya Australian Open.
Flamingo waliosimama juu ya maji tulivu wanaonekana hapa kama kwenye kioo katika Ziwa Magadi, Kenya - Ijumaa 12 Februari 2021

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Flamingo waliosimama juu ya maji tulivu wanaonekana hapa kama kwenye kioo katika Ziwa Magadi, Kenya
Short presentational grey line
Mwanamke akitembea katika mji wa Figuig - with yellow and blue painted walls and doors - on Morocco's border with Algeria - Saturday 20 March 2021

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Figuig, mji wa uliopakwa rangi angavu katika Milima ya Atlas. Hapa ni mpaka wa Morocco na Algeria
Moroccan artist Yassine Balbzioui poses next to his work Fantasy at the Reina Sofia Museum in Madrid, Spain - Tuesday 30 March 2021

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Na huko Uhispania, Yassine Balbzioui anapiga picha karibu na kazi yake ambayo ni sehemu ya maonyesho ya sanaa ya Morocco tangu 1950.
Short presentational grey line
A woman wearing a palm headdress smiles.

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Ethiopian Orthodox Christians in Israel celebrate on Palm Sunday...
MMA champion Francis Ngannou parading through Bafoussam, having arrived back in Cameroon on 28 April.

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Wakati huo huo Francis Ngannou anarejea nyumbani Cameroon kwa kukaribishwa kishujaa, baada ya kuwa bingwa mpya wa dunia wa uzani wa juu wa karate baada ya pambano lake la UFC huko Las Vegas.
Short presentational grey line
Children jump into the water of the Nile.

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Mwezi Mei viwano vya joto vilipanda nchini Misri, watoto viungani mwa mji wa Cairo walikuwa wakituliza joto hilo kwa kupiga mbizi ndani ya Mto Nile.
1px transparent line
A park ranger walks up Mount Nyiragongo.

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Wakati huohuo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo maelfu ya watu walilazimika kutoka makwao wakati Mlima Nyiragongo ulipolipuka
Short presentational grey line
A woman and her great-grandson sit in candlelight.

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Juni ilishuhudia upungufu zaidi wa nguvu za umeme nchini Afrika Kusini, Hapa Cecilia Nkosi anazungumza na mjukuu wake Smangaliso nyumbani kwao huko Soweto.
Three women dressed in traditional dresses of the Harari culture of eastern Ethiopia .

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Wanawake hawa wanahudhuria sherehe ya kufunguliwa tena kwa maonyesho ya mavazi mjni wakiwa wamevalia nguo za kitamaduni za Harari kutoka mashariki mwa Ethiopia,
A woman's hands holding a diamond

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Na almasi hii, ilielezewa kuwa ya tatu kwa ukubwa kuwahi kupatikana nchini Botswana.
Short presentational grey line
Two women smile and pose on the red carpet.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Mnamo Julai waigizaji wa kike wa Chad Rihane Khalil Alio na Achouackh Abakar Souleymane - ambao wanaigiza katika Lingui, The Sacred Bonds - walipanda zulia jekundu kwenye Tamasha la Filamu la Cannes nchini Ufaransa.
Child thrown from building
Maelezo ya picha, Naledi Manyoni akimrusha binti yake, Melokuhle, kutoka kwa jengo linaloungua kufuatia ghasia kubwa kupinga kifungo cha aliyekuwa Rais Jacob Zuma nchini Afrika Kusini . Mama na binti walitoka salama.
Short presentational grey line
Egypt's Mohab Ishak competes in the preliminary round of the men's 3m springboard diving event during the Tokyo 2020 Olympic Games at the Tokyo Aquatics Centre in Tokyo on August 2, 2021.

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Mnamo Agosti, muogeleaji wa Misri Mohab Ishak akipiga mbizi kwenye Michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020 iliyocheleweshwa.
Na nchini Nigeria, Prince Tsola Emiko anatawazwa kuwa olu mpya, au mfalme, wa Warri.

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Na nchini Nigeria, Prince Tsola Emiko anatawazwa kuwa olu mpya, au mfalme, wa Warri.
Short presentational grey line
A BBC composite of three individual photo portraits that were taken by AFP.

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Septemba inaashiria mwisho wa msimu wa mvua wa Niger na kuanza kwa tamasha la Cure Salée - ambapo Nobe Nobe,15 kutoka Ago, Djanje Haiballa,17 kutoka Fouduk na Veli Rabeo,28 pia wa Fouduk - wanapiga picha.
Egyptian children lying on a cotton crop on a farm in Fayoum, southern Cairo, Egypt - 19 September 2021

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Wakati huo huo, nchini Misri, mavuno ya pamba yanaanza. Watoto hawa wanafurahia kucheza kwenye kwenye shamba la pamba huko Fayoum, kusini mwa Cairo, Misri
1px transparent line
Mwimbaji wa Ufaransa na Ivory Coas Vegedream (Kulia) akitumbuiza na mmoja wa mashabiki wake kwenye jukwaa kwenye Tamasha la Muziki wa Mjini Anoumabo (Femua) mjini Abidjan mnamo Septemba 11, 2021.

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Mwimbaji wa Ufaransa na Ivory Coas Vegedream (Kulia) akitumbuiza na mmoja wa mashabiki wake kwenye jukwaa kwenye Tamasha la Muziki wa Mjini Anoumabo (Femua) mjini Abidjan
A handout photo made available by Guinea military shows Alpha Condé , the deposed president, detained by army special forces in Conakry, Guinea - 5 September 2021

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Baada ya miaka 10 madarakani ikiwa ni pamoja na muhula wa tatu wenye utata, Rais wa Guinea Alpha Condé anazuiliwa na jeshi latangaza kuwa limechukuwa mamlaka - likitoa picha hii kuonyesha ni nani anayeongoza.
Short presentational grey line
Diana Kipyogei of Kenya wears a gilded crown, Boston, the US - 11 October 2021

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Mnamo Oktoba Mkenya Diana Kipyogei ashinda mbio za Boston Marathon, nchini Marekani.
A wall mural of Archbishop Desmond Tutu is restored by the artist Brian Rolfe in Cape Town, South Africa - 7 October 2021

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Miezi hiyo pia iliadhimishwa miaka 90 ya kuzaliwa kwa Askofu Mkuu wa Afrika Kusini Desmond Tutu, wakati msanii Brian Rolfe aliporejesha picha ya kasisi huko Cape Town baada ya kuharibiwa na kashfa ya ubaguzi wa rangi. Mshindi wa Tuzo ya Nobel baadaye alikufa mnamo Desemba.
Short presentational grey line
A protestor holding up a Sudan flag against a dark blue sky in Khartoum Sunday 21 November 2021

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Mwezi Novemba washuhudia kuendelea kwa maandamano makubwa nchini Sudan kudai utawala kamili wa kiraia kufuatia mapinduzi ya Oktoba...
A man in traditional dress parades in the September 24 Stadium prior the ceremony celebrating Independence Day in Bissau on November 16, 2021. - Independence Day 2021 was postponed by two months by decision of President Umaro Sissoco Embalo due to covid-19 and bad weather.

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Wakati uwanja mkuu wa Guinea-Bissau ndio eneo la sherehe za siku ya uhuru wa nchi hiyo.
Short presentational grey line
A man standing with his cow in front of a bright pink wall by a ferry terminal on the River Gambia in The Gambia - 9 December 2021

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Mwezi Disemba, mwanamume mmoja na ng'ombe wake walipanga foleni kwa ajili ya feri nchini Gambia baada ya uchaguzi wa rais ambapo Adama Barrow alishinda muhula wa pili...
Wizkid and Burna boy performing on stage at the O2 Arena in London, the UK - 1 December 2021

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Na Wizkid na Burna Boy wanafikisha mwisho mwaka kwa onyesho la kuvutia katika O2 Arena ya London.

Images from AFP, Getty Images, Reuters and BBC