Malaria 'kuangamizwa kabisa' na vijiumbe maradhi,

Wanasayansi wamevumbua mbinu ya kuzuia malaria kwa kutumia vijiumbe maradhi

Kikosi cha wanasayansi wa Kenya na Uingereza wamepata matokeo ya utafiti ambao unaweza kuwa namna nzuri sana katika kukabiliana na magonjwa.

Malaria inaambukiza pale mbu mwenye maambukizi anapokung'ata, hivyo kuwalinda mbu kunaweza kusaidia kuwalinda watu pia.

Watafiti sasa wanachunguza kama wanaweza kuwaachia mbu walio na maambukizi kwenda porini au kuondoa ugonjwa huo kwao.

Hivi viumbe maradhi vikoje?

Vijidudu vinavyosababisha malaria, Microsporidia MB, vilibainika katika tafiti ambayo ilifanyika katika fukwe za ziwa Victoria nchini Kenya. Virusi hivyo vinaishi katika moto na wadudu.

Watafiti hawajaweza kupata sampuli moja ya mbu mwenye bacteria wa Microsporidia ambao walikuwa wanaelekea kuwa vimelea vya malaria. Na jaribio la maabra amballo lilichapishwa katika Nature Communications, limethibitisha kuwa bacteria hao wanatoa kinga kwa mbu kupata vijidudu vya malaria.

Microsporidias ni fangasi ambao wako karibu kunafanana nao.

Hata hivyo vimelea vipya vinaweza kuingia katika mbu na kialisia ilibainika ni yapata 5% ya wadudu waliofanyiwa utafiti.

Ugunduzi huu ni mkubwa kiasi gani?

"Takwimu zinaonyesha mpaka sasa ni 100% ya vimelea hao huwa wa blockage malaria," Dkt Jeremy Herren, kutoka ' International Centre of Insect Physiology and Ecology (icipe)' nchini Kenya kiliiambia BBC.

He added: "It will come as a quite a surprise. I think people will find that a real big breakthrough."

Zaidi ya watu 400,000 wanafariki kutokana na malaria kila mwaka, na wengi wao wakiwa watoto chini ya miaka mitano.

Ikiwa ni jitihada kubwa ya kuhamasisha watu kuendelea kutumia chandarua , kupuliza dawa katika nyumba katika miaka ya hivi karibuni.

Imekubalika kwa ukubwa kuwa mbinu mpya inahitajika kukabiliana na ugonjwa wa malaria

Je, 'viumbe maradhi' vinaweza kuzuia vipi malaria?

Maelezo ya kina bado yanahitaji kufanyiwa kazi .

Lakini 'Microsporidia MB' inaweza kuwa silaha ya kuwakinga mbu na kuweza kupambana na maambukizi.

Maambukizi ya Microsporidia MB yanaonekana kuwa ya muda muda mrefu.

Kama majaribio kadhaa yaliyofanywa yanaonyesha kuwa vijidudu hivyo vinakuwa imara zaidi, hivyo kuviteketeza vijidudu hivyo malaria-matokeo yake yatakuwa ya muda mrefu.

Wakati gani mbinu hii inaweza kutumika dhidi ya malaria?

Takribani , 40% ya mbu katika ukanda huu wanahitaji kupambana na vimelea hivyo kwa Microsporidia ili kukabiliana na malaria.

Vimelea hao wa malaria wanaweza kuvuka kutoka kwa mbu dume na kwendda kwa mbu jike.

Hivyo watafiti wanatafiti mikakati miwili ambayo wataweza kuondoa maambukizi ya malaria katika mbu.

Mfumo wa 'Microsporidia' ambao utakaoweza kupima mtu walioathirika kwa wingi.

Mbu dume ambao hawang'ati binadamu wanaweza kupata maambukizi katika maabara na wakiachiwa kwenda porini wanaweza kuambukiza mbu jike wanapofanya ngono.

"Huu ni uzinduzi mpya , tunafurahia namna hii mpya ya kukabiliana na malaria. Huu ni uataalamu mkubwa sana ," Prof Steven Sinkins, kutoka chuo kikuu cha MRC- Glasgow kituo cha utafiti wa virusi aliiambia BBC.

Hili suala la kutumia 'microbes' kukabiliana na malaria ni la mara ya kwanza.

Aina ya bacteria wanaoitwa Wolbachia wameonekana kufanya jambo hili kuwa gumu kwa mbu kusambaza homa ya dengue katika jaribio la duniani.

Nini kinafuata?

Wanasayansi wanapaswa kufahamu kuwa jinsi bacteria anavyosambaa, wanaweza kupanga kufanya majaribio mengine nchini Kenya.

Hata hivyo mbinu ambayo imetumiwa inaonekana kutoeleweka wakati wadudu hao tayari wadudu hao wameshaonekana katika mbu wa msituni na hawatambulishi kitu kipya.

Mbinu hiyo pia haitauwa mbu, hivyo haitaweza kuwa na athari ya mazingira yao kama chakula. Hii ni sehemu nyingine ya mikakati ya kuua bakteria ambao wanaweza kumaliza idadi ya mbu kwa wiki kadhaa.