Siku ya wanawake duniani 2020: Kwa picha wanawake walivyosherehekea jijini Dar es salaam

Mtangazaji wa radio moja nchini Tanzania katika maadhimisho ya siku ya mwanamke jijini Dar es Salam

Chanzo cha picha, Dina Marious

Maelezo ya picha, Mtangazaji wa radio moja nchini Tanzania katika maadhimisho ya siku ya mwanamke jijini Dar es Salam
Baadhi ya wanawake wametumia siku hii kwa kujumuika kwa pamoja kufurahi huku wakiwa wamevaa nguo zilizofanana

Chanzo cha picha, Hisani

Maelezo ya picha, Baadhi ya wanawake wametumia siku hii kwa kujumuika kwa pamoja kufurahi huku wakiwa wamevaa nguo zilizofanana
Wanawake kuhamasishwa kujikwambua kwa kutumia sayansi na teknolojia
Maelezo ya picha, Wanawake kuhamasishwa kujikwambua kwa kutumia sayansi na teknolojia
Asasi mbalimbali mbalimbali zimetumia siku hii kuelimisha jamii kuhusu siku hii ya wanawake

Chanzo cha picha, Tulanana Buhohela

Maelezo ya picha, Mambo muhimu, binti wa kike anayopaswa kuzingatia ni usafi
Wanawake kuhamasishwa kujikwambua kwa kutumia sayansi na teknolojia
Maelezo ya picha, Wanawake kuhamasishwa kujikwambua kwa kutumia sayansi na teknolojia
Taasisi ni Bodi ya wataalamu wa Ununuzi na ugavi (PSPTB),

Chanzo cha picha, Hisani

Maelezo ya picha, Baadhi ya wanawake wa taasisi ni Bodi ya wataalamu wa Ununuzi na ugavi