Kwa Picha: Tazama gwaride la kijeshi la Urusi

Urusi imefanya onyesho lake la kila mwaka mwisho wa mwezi ambao ulianza na vifo vya wanamaji 14 waliofariki katika moto wakiwa ndani ya manowari

Gwaride kubwa kabisa lilifanyika katika mji wa St Petersberg ambapo meli za kijeshi zilijipanga katika bahari ya Baltic

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Gwaride kubwa kabisa lilifanyika katika mji wa St Petersberg ambapo meli za kijeshi zilijipanga katika bahari ya Baltic
Mojawapo ya meli mpya kabisa ya Urusi Frigate Admiral Kasatonov

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Mojawapo ya meli mpya kabisa ya Urusi Frigate Admiral Kasatonov
Manowari ya kutumia mafuta ya diseli pia ilikuwepo katika gwaride hilo la kijeshi katika mji wa piliw a taifa hilo

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Manowari ya kutumia mafuta ya diseli pia ilikuwepo katika gwaride hilo la kijeshi katika mji wa piliw a taifa hilo
Vladimir Putin (kushoto) alitazama gwaride hilo akiandamana na komanda wa wanamaji Admiral Nikolai Yevmenov (R)

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Vladimir Putin (kushoto) alitazama gwaride hilo akiandamana na komanda wa wanamaji Admiral Nikolai Yevmenov (R)
Siku ya Jumamosi bwana Putin alikutana na familia za wanajeshi ambao walifariki wakati manowari ilipoteketea

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Siku ya Jumamosi bwana Putin alikutana na familia za wanajeshi ambao walifariki wakati manowari ilipoteketea
Wanamaji wa Urusi wakifanya onyesho lao katika eneo la Sevastopol, katika eneo la Crimea lililonyakuliwa na Urusi

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Wanamaji wa Urusi wakifanya onyesho lao katika eneo la Sevastopol, katika eneo la Crimea lililonyakuliwa na Urusi
Ndege za kijeshi zilishiriki katika maonyesho hayo

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Ndege za kijeshi zilishiriki katika maonyesho hayo
katika eneo la Vladivostok, raia walivalia kama mabaharia kutazama gwaride hilo la meli za kivita za Urusi

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, katika eneo la Vladivostok, raia walivalia kama mabaharia kutazama gwaride hilo la meli za kivita za Urusi

Pictures copyright of EPA, Reuters