Marafiki wasio wa kawaida kwenye makao ya wanyama Beijing

Chanzo cha picha, Getty Images
Picha za watoto wa wanyama wakicheza pamoja kwenye makao ya wanyamapori mjini Beijing zimefurahisha wengi mitandaoni.
Picha hizo zilizipigwa Alhamisi zinoanyesha watoto wa mbwa wakicheza pamoja na wale wa simba na wa chui milia.
Wote hao walinyonyeshwa na mbwa baada ya watoto 8 wakiwemo wa chui milia, fisi na simba kutelekezwa na mama zao.
Wamekua pamojana sasa wao ni marafiki wakubwa.
Picha hizo zimesambazwa sana kwenye mtandao wa twitter.

Chanzo cha picha, Getty Images


Chanzo cha picha, Getty Images


Chanzo cha picha, Getty Images


Chanzo cha picha, Getty Images









