Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Mishahara ya viongozi wa mataifa makuu duniani
Umewahi kujiuliza viongozi wa mataifa yenye ushawishi duniani hulipwa mshahara kiasi gani?
Huu hapa ni muhtasari:
Donald Trump Dola 400,000 (pauni 309,720), ingawa alisema atakuwa akipokea dola moja pekee
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel $273553 (£212,387)
Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau $264,491 (£205,351)
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron $202950 (£157571)
Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May $193,699 (£150,402)
Rais wa Urusi Putin $146926 (£114,074)
Waziri Mkuu wa Singapore Lee Hsien Long $1.58m (£1.23m)