Picha za kusisimua za wanasiasa na watoto

Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May alionekana kushangaa alipotembelea shule moja Cumbria wiki hii kama picha hii inavyoonesha.

Lakini si yeye wa kwanza kupigwa picha ambayo ni ya kushangaza akiwa na watoto.

Hapa, ni baadhi ya picha za kushangaza za viongozi wengine.

Msichana huyu hakutaka kumuona aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza David Cameron

Mvulana aliyekutana naaliyekuwa waziri wa fedha George Osborne

Ed Miliband akinywa chai

Boris naye alimwangusha mvulana mchezo wa raga

Alyekuwa meya wa London Boris alikuwa akicheza raga na watoto wa miaka 10 Japan. Alionekana kutumia nguvu zake zote. Mvulana huyo baadaye alisema "nilihisi maumivu kidogo".

Boris baadaye aliomba radhi.

Ed Balls alihitaji kusaidiwa kuinuka kutoka kwenye mkeka

Watoto walionekana kushangaa.

Upweke Nick Clegg akila na watoto

Mwana wa Donald Trump, Barron anafahamika kwa kupiga miayo

Upweke bao...

Lakini kuna mwanasiasa mmoja anayefurahiwa na watoto ...