Maelfu wahudhuria mazishi ya Rafsanjani

Kiongozi wa Iran Ayatollah Ali Khamenei(wa pili kulia) na Rais Hassan Rouhani(kati kati) wakiguza jeneza la Akbar Hashemi Rafsanjani

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Kiongozi wa Iran Ayatollah Ali Khamenei(wa pili kulia) na Rais Hassan Rouhani(kati kati) wakiguza jeneza la Akbar Hashemi Rafsanjani

Maelfu ya watu nchini Iran wamejitokeza kwenye mji mkuu Tehran kwa mazishi ya rais wa zamani Akbar Hashemi Rafsanjani.

Kiongozi wa Iran Ayatollah Ali Khamenei aliongoza maombi kwenye sherehe hizo.

Rafsanjani ambaye alikuwa rais kati ya mwaka 1989 na 1997 aliaga dunia kutoka na mshutuko wa moyo siku ya Jumapili akiwa na umri wa maika 82.

Alikuwa mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa tangu yafanyike mapinduzi ya mwaka 1979.

Raia wakiwa na picha za Akbar Hashemi Rafsanjani mjini Tehran

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Raia wakiwa na picha za Akbar Hashemi Rafsanjani mjini Tehran

Televisheni ilionyesha umati mkubwa wa waombolezaji katika mitaa inayozunguka chuo kikuu cha Tehran ambapo maombi yanafanyika.

People attend the funeral ceremony of Akbar Hashemi Rafsanjani in Tehran, Iran (10 January 2017)

Chanzo cha picha, Reuters

Rafsanjani alikuwa muungaji mkono wa rais wa sasa wa Iran Hassan Rouhani

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Rafsanjani alikuwa muungaji mkono wa rais wa sasa wa Iran Hassan Rouhani
Raia wa Iran wakikusanyika kando ya gari lililokuwa limebeba jeneza la Rafsanjani mjini Tehran.

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Raia wa Iran wakikusanyika kando ya gari lililokuwa limebeba jeneza la Rafsanjani mjini Tehran.