Maisha ya Papa Francis katika Picha

Chanzo cha picha, Getty Images
Papa Francis amefariki dunia baada ya kuongoza Kanisa Katoliki kwa zaidi ya muongo mmoja.
Mara ya mwisho kuonekana hadharani ilikuwa kwenye kibaraza cha juu cha Kanisa kuu la Vatican la Mtakatifu Peter's Basilica ili kuwatakia "Pasaka Njema" maelfu ya waumini.
Papa, akiwa katika kiti cha magurudumu, alipungia mkono kwa umati wa watu waliokuwa wakishangilia katika Uwanja wa mtakatifu St Peter's kwa chini.
Papa alidhamiria kuwa na Kanisa jumuishi zaidi, hizi hapa ni baadhi ya picha za kushangaza za maisha yake na upapa mpaka anafariki akiwa na umri wa miaka 88.

Chanzo cha picha, Remo Casilli/Reuters

Chanzo cha picha, Sipa US/Alamy Stock

Chanzo cha picha, Guglielmo Mangiapane/Reuters

Chanzo cha picha, FRANCO/GETTY

Chanzo cha picha, ANTONIO/GETTY
Alizaliwa kama Jorge Mario Bergoglio huko Buenos Aires, Argentina, tarehe 17 Desemba 1936 , akiwa ndiye mkubwa katika watoto watano. Wazazi wake walikuwa wamekimbia nchi yao ya asili ya Italia ili kuepuka ufashisti.

Chanzo cha picha, API/GAMMA/Gamma-Rapho via Getty Images

Chanzo cha picha, Jesuit General Curia via Getty Imag
Alikua katika familia ya wafanya kazi, maisha yake ya utotoni yaliwekwa alama ya urahisi na kujitolea kwa imani yake

Chanzo cha picha, Franco Origlia/Getty Images
Akiwa kijana Bergoglio alifanya kazi kama mlinzi (bouncer) katika klabu ya usiku na aliwahi kuwa mfanya usafi. Ailikuwa akishabikia klabu ya soka ya eneo analotoka, San Lorenzo de Almagro, shauku aliyodumiu nayo kwa muda mrefu hata baada ya kuwa Kasisi mnamo 1969

Chanzo cha picha, API/GAMMA/Gamma-Rapho via Getty Images
Papa Fransis wakati wa uhao wake alifanya juhudi za kukuza amani ya dunia n alitafuta kuponya mpasuko wa miaka elfu moja na Kanisa la Othodoksi la Mashariki na kufanya kazi na Waanglikana, Walutheri na Wamethodisti

Chanzo cha picha, AFP

Chanzo cha picha, Reuters

Chanzo cha picha, AFP

Chanzo cha picha, AFP

Chanzo cha picha, Vatican/EPA












