Matokeo ya uchaguzi wa urais Marekani 2020: Kura zinaendelea kuhesabiwa

Iwapo unataka kufuatilia yanayojiri bbcswahili itakuwa nawe kukujuza kuhusu matokeo hayo katika ukurasa huu.

Ukurasa huu utakuwa na matokeo ya uchaguzi kadri yanavyojiri pamoja na ukurasa ambao utakuletea habari hizo mubashara .

Habari hizo zitashirikisha ramani yenye data za upigaji kura kutoka katika uchaguzi wa urais na ule wa wawakilishi wa bunge la Congress hadi katika kiwango cha kaunti.