Matokeo ya uchaguzi wa urais Marekani 2020: Kura zinaendelea kuhesabiwa

Trump bado yuko nyuma

Iwapo unataka kufuatilia yanayojiri bbcswahili itakuwa nawe kukujuza kuhusu matokeo hayo katika ukurasa huu.

Section divider

Ukurasa huu utakuwa na matokeo ya uchaguzi kadri yanavyojiri pamoja na ukurasa ambao utakuletea habari hizo mubashara .

matokeo
Familia ikitazama runinga

Habari hizo zitashirikisha ramani yenye data za upigaji kura kutoka katika uchaguzi wa urais na ule wa wawakilishi wa bunge la Congress hadi katika kiwango cha kaunti.

Maelezo ya video, Uchaguzi Marekani 2020: US Elections: Tazama nyakati muhimu za mdahalo kati ya Trump na Bi