Hanan Buhari: Ni nani aliyemuoa mtoto wa rais wa Nigeria Muhammadu Buhari?

Chanzo cha picha, aishambuhari
Mke wa rais wa Nigeria Mahammadu Buhari,-Aisha Buhari ametuma picha za harusi ya binti yake Hanan na mkwe wake Mohammed Turad kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.
Alituma wa picha iliyoambatana na ujumbe ''HamadForever Alhamullilah'' akimaanisha ''HamadDaima Alhamdullilah''
Ilikuwa imeripotiwa kwenye mitandao ya kijamii tangu mwezi Agosti kwamba binti wa Rais Muhammadu Buhari, Hanan, ataolewa na mtoto wa kiume wa mwanasiasa maarufu kutoka jimbo la Kaduna Sani Sha'aban Mohammed Turad.
Harusi yao ya kufana imefanyika jana katika kasri la Aso rock.

Chanzo cha picha, Aishabuhari

Chanzo cha picha, Aisha Buhari IG

Chanzo cha picha, @AISHAMBUHARI
Baadhi ya waliohudhuia harusi hiyo walituma video hizi kwenye mtandao wa Instagram:
Mkala hii imebeba madhui yaliyotoka kwenye mitandao ya kijamii. Tunaomba ruhusa yako kabla kitu chochote hakija pakiwa, sababu wanaweza wakawa wanatumia Cookies na tekinolojia nyingine. Unaweza ukasoma sera sera ya kutumia cookies katika mitandao ya kijamii kabla ya kukubali. Kutazama maudhui haya chagua accept and continue
Mwisho wa Instagram ujumbe, 1

Mwisho wa Instagram ujumbe, 2

Mwisho wa Instagram ujumbe, 3

Mwisho wa Instagram ujumbe, 4
Unaweza pia kusoma:
Kile tunachokifahamu kumuhusu Ango Muhammed Turad
Muhammad Turad Sha'aban, ni mtoto wa kiume wa mbunge wa zamani wa Nigeria aliyewakilisha jimbo la Sabon Gari Zaria katika bunge la 5 la taifa la Nigeria, aligombea ugavana katika uchaguzi wa mwaka 2007 na wa mwaka 2011.
Alhaji Sani Sha'aban ana mamlaka ya jamii ya Ɗamburam katika ufalme wa Zazzau.
Taarifa zinasema kuwa Turad ni mtaalamu wa masuala ya fedha.