Ineos Challenge 1:59: Je unaweza kushindana na Eliud Kipchoge?

Mwanariadha huyo mwenye umri wa miaka 34 ameweka muda bora katika shindano la Ineos Challenge 1:59 mjini Vienna siku ya Jumamosi .

Lakini muda huo sio rasmi kwa kuwa alisaidiwa na wadhibiti kasi. Aliweka rekodi iliopo ya saa mbili dakika moja na sekunde 39 mwaka uliopita mjini Berlin