Maonyesho ya miale ya kipekee Canada

Mpiga picha wa Korea amepiga picha hizi za mwangaza unaotokana na miale ya sumaku na jua nchini Canada

Mpiga picha wa Korea , O Chul Kwon, amepiga picha hizi za mwangaza ambazo zilikuwa kwenye maonyesho katika kijiji cha Aurora nchini Canada
Maelezo ya picha, Mpiga picha wa Korea , O Chul Kwon, amepiga picha hizi za mwangaza ambazo zilikuwa kwenye maonyesho katika kijiji cha Aurora nchini Canada
Kila mwaka maelfu ya watalii husafiri kwenda katika mji mkuu wa maeneo ya Kaskazini Magharibi mwa Canada kujionea maonyesho haya ya kipekee
Maelezo ya picha, Kila mwaka maelfu ya watalii husafiri kwenda katika mji mkuu wa maeneo ya Kaskazini Magharibi mwa Canada kujionea maonyesho haya ya kipekee
Kwa watazamaji wengi, maonyesho haya ni ya kipekee na ambayo yanashuhudiwa tu mara moja kwa mwaka.Miale hiyo inayojulikana kama aurora borealis, inaonekana katika anga ya mji huu wa 'Laden Location' eneo linalosifika kwa kuwa eneo nzuri zaidi la maonyesho kama haya duniani
Maelezo ya picha, Kwa watazamaji wengi, maonyesho haya ni ya kipekee na ambayo yanashuhudiwa tu mara moja kwa mwaka.Miale hiyo inayojulikana kama aurora borealis, inaonekana katika anga ya mji huu wa 'Laden Location' eneo linalosifika kwa kuwa eneo nzuri zaidi la maonyesho kama haya duniani
Picha hizi hutokana na kawi inayotoka kwa sumaku ambazo hutoa chembechembe kwa kasi ya juu kutoka kwa jua. Chembe chembe hizi huchanganyikana na gesi ya Oxygen na Nitrogen na kuzalisha mwangaza wa rangi ya kijani , nyekundu na waridi juu angani kama inavyoonekana hapa nyakati za usiku
Maelezo ya picha, Picha hizi hutokana na kawi inayotoka kwa sumaku ambazo hutoa chembechembe kwa kasi ya juu kutoka kwa jua. Chembe chembe hizi huchanganyikana na gesi ya Oxygen na Nitrogen na kuzalisha mwangaza wa rangi ya kijani , nyekundu na waridi juu angani kama inavyoonekana hapa nyakati za usiku
'Hali ya hewa ni muhimu lakini, utabiri wangu huwa sawa , kwa hivyo wacha mimi huweka kamera yangu katika sehemu ambayo inaendelea tu kufanya kazi wakati wote bila kusimama na kuanza kupiga picha hizi,'' asema Kwon.
Maelezo ya picha, 'Hali ya hewa ni muhimu lakini, utabiri wangu huwa sawa , kwa hivyo wacha mimi huweka kamera yangu katika sehemu ambayo inaendelea tu kufanya kazi wakati wote bila kusimama na kuanza kupiga picha hizi,'' asema Kwon.
Kinachochekesha zaidi ni mwangaza unaotoka Kaskazini huwa juu ya ardhi na huoenekana kila siku , siku 365 na masaa 24 , isipokuwa wakati wa hali mbaya ya hewa ambapo haiwezi kuonekana. ''
Maelezo ya picha, Kinachochekesha zaidi ni mwangaza unaotoka Kaskazini huwa juu ya ardhi na huoenekana kila siku , siku 365 na masaa 24 , isipokuwa wakati wa hali mbaya ya hewa ambapo haiwezi kuonekana. ''
Kwon ambaye anaishi mjini Seoul, amekuwa akipiga picha za matukio yanayotokana na miale ya Jua kwa zaidi ya miaka 24
Maelezo ya picha, Kwon ambaye anaishi mjini Seoul, amekuwa akipiga picha za matukio yanayotokana na miale ya Jua kwa zaidi ya miaka 24