Picha tofauti za Afrika zilizotia fora wiki hii: Kati ya tarehe 18-24 Oktoba 2019

A selection of photos from across Africa and of Africans elsewhere this week:

Shabiki mmoja anatazama mechi ya kwanza kati ya Afrika kusini dhidi ya Zambia, katika mashindano ya Open Polo katika klabu ya Polo ya Rosefield Polo , Centurion, mwezi Oktoba 20, 2019. - Timu ya Afrika kusini iliibuka mshindi dhidi ya Zambia kwa 7-6.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Siku ya Jumapili shabiki mmoja wa polo nchini Afrika kusini anaonekana akivalia kofia kubwa zaidi
Mchezaji wa Afrika Kusini Guy Slater (katikati) na Leroux Hendriks wanashindania mpira wakati wa mechi kati ya Afrika Kusini na zambia katika klabu ya Polo ya Rosefield Polo Club, Centurion, mnamo mwezi Oktoba 20, 2019. - Afrika Kusini ilishinda mechi hiyo dhidi ya Zambia 7-6.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, ... Akitazama Afrika Kusini ikiishinda Zambia 7-6.
Winga wa Afrika Kusini Makazole Mapimpi (kushoto) sanafunga trai wakati wa robo fainli ya michuno ya kombe la dunia ya raga nchibi japan katika uwanja wa Tokyo tarehe 20 mwezi Oktoba, 2019.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Ushindi mwengine mkubwa kwa Afrika Kusini katika robo fainli ya kombe la dunia dhidi ya Japan...
Kiungo wa kati wa Afrika Kusini Faf de Klerk (kulia) afunga trai wakati wa mechi ya robo fainili ya kombe la dunia dhidi ya Japan katika uwanja wa Tokyo tarehe 20 mwezi Oktoba, 2019

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Matokeo ya mwisho yalikuwa Afrika Kusini 26 Japan 3
Mo Salah na Sadio Mane

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Wachezaji wa Liverpool raia wa Misri Mohamed Salah na mwenzake wa Senegal Sadio Mane wakisherehekea baada ya kuifunga timu ya Ubelgiji ya Genk katika kombe la vilabu bingwa siku ya Jumatano.
Barabara za eneo la Feisal baada ya mvua kali katika mji mkuu wa Cairo, Misri mwezi Oktoba 22, 2019.- Mostafa Madbouly ambaye ndiye waziri mkuu wa Misri , ametangaza kwamba vyuo vikuu na shule zitafungwa katika maeneo kadhaa ya mji wa Cairo , Giza na Qalyuba baada ya ripoti ya mamlaka ya hali ya hewa nchini humo kusema kwamba kutakuwa na mvua isioisha katika siku chache zijazo.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, ... Uso wa Salah unaonekana uking'aa katika barabara kufuatia mvua kali katika barabara za mji wa Cairo. Siku ya Jumanne waziri mkuu amesema kwamba shule zitafungwa kufuatia mvua hiyo isiosita kunyesha.
Mvua pia iliathiri mji wa kibiashara wa Nigeria Lagos siku ya Jumapili.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Mvua pia iliathiri mji wa kibiashara wa Nigeria Lagos siku ya Jumapili.
Picha ya juu inaonesha wapiga kura wakisubiri katika foleni ili kupiga kura katika vituo vya kupigia kura mjini Gaborone tarehe 23 mwezi Oktoba 2019

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, wapiga kura walipiga foleni waiuzunguka uwanja wa kandanda katika mji wa Botswana Gaborone kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa taifa hilo siku ya Jumatano
... Siku moja kabla mfuasi wa chama tawala naonekana akibeba picha ya rais Mokgweetsi Masisi. Chama chake kimekuwa madarakani tangu 1966 lakini wachunguzi wanasema kwamba ni uchaguzi wenye ushindani mkubwa zaidi katika historia ya taifa hilo

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, ... Siku moja kabla mfuasi wa chama tawala naonekana akibeba picha ya rais Mokgweetsi Masisi. Chama chake kimekuwa madarakani tangu 1966 lakini wachunguzi wanasema kwamba ni uchaguzi wenye ushindani mkubwa zaidi katika historia ya taifa hilo
Mamia ya wanawake walipinga muhula wa tatu wa rais Conde waliandamana siku ya Jumatano mjini Conakry, siku moja baada ya shutuma za waandaaji wa maandamno hayo ambayo yameiweka Guinea katika vyombo vya habari kwa wiki moja na kusababisha mauaji ya watu 10.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Wanawake nchini Guinea wanabeba mabango yanayosema Udikteta wako unaua maisha yetu ya baadaye, huku wakiandamana dhidi ya mauaji ya waandamanaji na muhula wa tatu wa rais Alpha Conde.
Siku ya Jumatano , rais wa Urusi Vladimir Putin anakaribisha mkuu wa serikali ya mpito ya Sudan jenerali Abdel Fattah al-Burhan, katika mkutano wa Urusi kuhusu Afrika. Baadaye alifutilia mbali deni la $20bn barani Afrika.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Siku ya Jumatano , rais wa Urusi Vladimir Putin anakaribisha mkuu wa serikali ya mpito ya Sudan jenerali Abdel Fattah al-Burhan, katika mkutano wa Urusi kuhusu Afrika. Baadaye alifutilia mbali deni la $20bn barani Afrika.
Piramidi za Gizza ni ndefu katika mji wa Cairo

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Piramidi za Gizza ni ndefu katika mji wa Cairo

Pictures from AFP, Getty Images and Anadolu Agency