Afrika kwa picha : 14-20 Juni 2019

Baadhi ya picha kutoka maeneo mbali mbali ya Afrika na waafrika nje ya bara la Afrika wiki hii:

Mvulana wa Sudan akiupoza mwili wake katika mkono wa maji ya umwagiliaji mashamba karibu na mji mkuu wa Sudan , Khartoum, siku ya Jumatano

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Mvulana wa Sudan akiupoza mwili wake katika mkono wa maji ya umwagiliaji mashamba karibu na mji mkuu wa Sudan , Khartoum, siku ya Jumatano
Katika siku hiyo hiyo katika hifadhi ya wanyama ya Jamuhuri ya Tczech , kifaru huyu mweusi alichukuliwa picha hii kabla ya kuhamishiwa this black rhinoceros is pictured ahead of Rwanda. Ni mmoja wa vifaru watatu waliohamishiwa kwenye mbuga ya wanyama iliyoko mashariki mwa nchi ili kuendeleza maisha yao ya mwituni

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Katika siku hiyo hiyo katika hifadhi ya wanyama ya Jamuhuri ya Tczech , kifaru huyu mweusi alichukuliwa picha hii kabla ya kuhamishiwa this black rhinoceros is pictured ahead of Rwanda. Ni mmoja wa vifaru watatu waliohamishiwa kwenye mbuga ya wanyama iliyoko mashariki mwa nchi ili kuendeleza maisha yao ya mwituni
Jumatano wiki hii pia nyumba zilizopakwa rangi za kuvutia ndio mtindo wa nyumba za wakazi wa mji wa Cape Town wa Bo Kaap

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Jumatano wiki hii pia nyumba zilizopakwa rangi za kuvutia ndio mtindo wa nyumba za wakazi wa mji wa Cape Town wa Bo Kaap
Ilikuwa ni siku ya Jumanne wiki hii wakati, mwanamme uyu alipopigwa picha akipiga muziki kwenye pembe katika mji Mkuu wa Sudan l, Khartoum.

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Ilikuwa ni siku ya Jumanne wiki hii wakati, mwanamme uyu alipopigwa picha akipiga muziki kwenye pembe katika mji Mkuu wa Sudan l, Khartoum.
Katika kumkumbuka rais wa zamani wa Misri Mohammed Morsi nchini Uturuki aliyefariki dunia wiki hii muombolezaji huyu alionyesha ishara hii ya vidole vyake vinne, kuonyesha ishara ya Rabia kuonyesha ishara ya kuunga mkono chama cha Morsi cha Muslim Brotherhood, ambao wanadai kuwa kiongozi wao wa zamani aliuawa

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Katika kumkumbuka rais wa zamani wa Misri Mohammed Morsi nchini Uturuki aliyefariki dunia wiki hii muombolezaji huyu alionyesha ishara hii ya vidole vyake vinne, kuonyesha ishara ya Rabia kuonyesha ishara ya kuunga mkono chama cha Morsi cha Muslim Brotherhood, ambao wanadai kuwa kiongozi wao wa zamani aliuawa
Siku iliyofuatia sanamu hii ya Nelson Mandela kwenye bunge la Afrika Kusini mjini Cape Town likipigwa na jmwangaza wa jua

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Siku iliyofuatia sanamu hii ya Nelson Mandela kwenye bunge la Afrika Kusini mjini Cape Town likipigwa na jmwangaza wa jua
Mpitanjia akitizama vipuli vya Wamaasai vinavyouzwa jijini Nairobi Jumapili

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Mpitanjia akitizama vipuli vya Wamaasai vinavyouzwa jijini Nairobi Jumapili
Nchini Kenya pia , mwanamme huyu alijiunga na mamia ya waandamanaji wengine katika mji mkuu Nairobi Jumatano kupinga ghasia za jeshi la Sudan dhidi ya waandamanaji. Nyuma yake ni picha ya mchoro ya msichana mwenye umri wa miaka 22 Alaa Salah, ambaye amekuwa ishara ya upinzani nchini Sudan

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Nchini Kenya pia , mwanamme huyu alijiunga na mamia ya waandamanaji wengine katika mji mkuu Nairobi Jumatano kupinga ghasia za jeshi la Sudan dhidi ya waandamanaji. Nyuma yake ni picha ya mchoro ya msichana mwenye umri wa miaka 22 Alaa Salah, ambaye amekuwa ishara ya upinzani nchini Sudan
Jumamosi, ilikuwa ni siku ya mwisho ya Wiki ya Fasheni mjini Tunis, wanamitindo walivalia mitindo ya wabunifu Blue Island na Atelier Chardon Savard.

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Jumamosi, ilikuwa ni siku ya mwisho ya Wiki ya Fasheni mjini Tunis, wanamitindo walivalia mitindo ya wabunifu Blue Island na Atelier Chardon Savard.
Kama ilivyotarajiwa kwa kombe la soka la Afrika Clililoanza nchini Misri Ijumaa, mwanamme huyu alikuwa akichora mchoro wa picha ya nyota wa soka nchini mwake, Mo Salah, mjini Cairo.

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Kama ilivyotarajiwa kwa kombe la soka la Afrika Clililoanza nchini Misri Ijumaa, mwanamme huyu alikuwa akichora mchoro wa picha ya nyota wa soka nchini mwake, Mo Salah, mjini Cairo.

Picha kutoka Reuters, EPA na AFP