Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Michezo ya Olimpiki 2024: Kutana na bondia wa kwanza wa Australia anayevaa hijab
Tina Rahimi anaandika historia kwa kuiwakilisha Australia katika michezo ya Olimpiki wakati akiwa amevaa hijab.
Bondia huyo alizaliwa na wazazi Wairan na alianza kama msanii wa vipodozi kabla ya kuingia katika ndondi kama mchezo wa kujifurahisha. Lakini sasa anajiandaa kuiwakilisha nchi yake Paris