Gharama ya maisha Kenya inavyowasukuma wasichana wadogo katika ukahaba

h
Maelezo ya video, Kenya: Hofu ya gharama ya maisha inavyowasukuma wasichana kuingia katika ngono

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kazi Duniani ameonya kwamba kupanda kwa gharama ya maisha duniani kunawafanya watoto kuingia katika biashara ya ngono-na aina zingine za kazi zenye madhara.

Kwa muda mrefu Kenya imekuwa kitovu cha unyanyasaji wa watoto kingono.

Wafanyakazi wa mashirika yasiyo ya kiserikali wametoa tahadhari kwamba kupanda kwa bei za bidhaa na ushuru vinasukuma wazazi kuchukua hatua kali dhidi ya watoto wao- ikiwa ni pamoja na kuwaingiza watoto wao katika biashara ya ngono.

Tahadhari: baadhi yamaelezo yanaweza kupata baadhi ya maelezo ya kukukaraisha