Taifa stars dhidi ya Morocco Afcon: ‘Tumejiandaa vizuri’ - Mbwana Samatta

Taifa stars dhidi ya Morocco Afcon: ‘Tumejiandaa vizuri’ - Mbwana Samatta

Kuelekea mchezo wa Tanzania na Morocco hii leo Jumatano utakao pigwa saa 2 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, nahodha wa Timu ya Taifa stars ya Tanzania Mbwana Samatta na kocha Adel Adel Amrouche wameelezea jinsi kikosi kilivyojiandaa kushuka dimbani

Mwandishi wa BBC @frankmavura aliyeko nchini Ivory Coast ametuandalia taarifa hii.