Tunawezaje kula kuku bila 'kumchinja'?

Tunawezaje kula kuku bila 'kumchinja'?

Kampuni ya Marekani, Upside Foods, ilipata idhini ya udhibiti wa nyama inayokuzwa kwenye maabara na inalenga kuuza 'kuku wa kulimwa' kwa mikahawa mwaka huu na inapanga kuwa nayo katika maduka ya mboga ifikapo 2028.