Tunawezaje kula kuku bila 'kumchinja'?

Maelezo ya video, Tunawezaje kula kuku bila kuua hata mmoja?
Tunawezaje kula kuku bila 'kumchinja'?

Kampuni ya Marekani, Upside Foods, ilipata idhini ya udhibiti wa nyama inayokuzwa kwenye maabara na inalenga kuuza 'kuku wa kulimwa' kwa mikahawa mwaka huu na inapanga kuwa nayo katika maduka ya mboga ifikapo 2028.

w