Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
'Uchaguzi Kenya: Siasa na Wanawake katika maeneo yaliyotengwa'
'Uchaguzi Kenya: Siasa na Wanawake katika maeneo yaliyotengwa'
Ashley Lime na Anne Okumu
BBC
Wanawake watatu wa Kenya kutoka jamii zilizotengwa wanaelezea hali ngumu wanazopitia kuwania viti vya kisiasa katika uchaguzi mkuu ujao na jinsi wanavyodhamiria kukabiliana na changamoto wanazopitia. Wanaelezea vikwazo vyao kuwa vya kipekeeikilinganishwa na kile wenzao katika maeneo ya mijini wanakumbana nayo.
Video: Anne Okumu