'Uchaguzi Kenya: Siasa na Wanawake katika maeneo yaliyotengwa'

Maelezo ya video, Uchaguzi wa Kenya 2022: 'Ukiwa mwanamke, mume wako na jamii inapaswa kukubaliana ili ushiriki
'Uchaguzi Kenya: Siasa na Wanawake katika maeneo yaliyotengwa'

Ashley Lime na Anne Okumu

BBC

Wanawake watatu wa Kenya kutoka jamii zilizotengwa wanaelezea hali ngumu wanazopitia kuwania viti vya kisiasa katika uchaguzi mkuu ujao na jinsi wanavyodhamiria kukabiliana na changamoto wanazopitia. Wanaelezea vikwazo vyao kuwa vya kipekeeikilinganishwa na kile wenzao katika maeneo ya mijini wanakumbana nayo.

Video: Anne Okumu