BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Rais wa Uganda aapishwa kwa muhula wa saba mfululizo
Ulinzi mkali, ikiwa ni pamoja na vifaru vya kivita, uliwekwa katika mji mkuu, Kampala,.
Ruto asema ‘hatutamlazimisha Aliko Dangote eneo la kuwekeza’
Kulingana na Ruto, Tanga ilionekana kuwa chaguo linalofaa zaidi kwa sababu mradi wa bomba la mafuta ghafi la eneo hilo hapo awali ulipangwa kuwa huko.
Siri ya sayari isiyoonekana
"Ikiwa Sayari ya Tisa haipo, hatutakuwa na maelezo ya matukio mengi ya kushangaza," Profesa Brown aiambia BBC.
Netflix yashitakiwa kwa kuwachunguza watumiaji wake, wakiwemo watoto
Kampuni hiyo inatuhumiwa kukusanya na kutumia data za watumiaji wake, ikiwemo watoto bila ridhaa yao ya wazi, na baadaye kutumia taarifa hizo kwa malengo ya kibiashara na uboreshaji wa huduma zake.
VAR inaharibu utamu na uhondo wa soka?
Kama kuna mjadala mkubwa zaidi kuhusu Video Assistant Referee (VAR), teknolojia ya video inayosaidia uamuzi wa uwanjani, tangu ianzishwe, basi huenda ni ule uliotokea katika mechi ya Ligi Kuu kati ya West Ham na Arsenal.
Fahamu faida za kiafya za kula miguu ya kuku
Ingawa miguu ya kuku inachukuliwa kuwa taka katika baadhi ya nchi, kulingana na utafiti iliyochapishwa na Taasisi za Kitaifa za Afya za Marekani (NIH), ina virutubishi vingi muhimu na faida za kiafya.
Yoweri Museveni: Mwanamapinduzi aliyegeuka mfumo usiorithika Uganda
Museveni anaapishwa na kuanza muhula wake wa 7 kama Rais wa Uganda akiingia katika orodha ya marais wachache wa Afrika waliotawala kwa zaidi ya miaka 40.
Wanasayansi wafanikiwa kwa mara ya kwanza kabisa kubaini neva za kisimi
Waandishi wa utafiti huo pia walisema kuwa utafiti huo unaweza kusaidia madaktari wa upasuaji kuepuka kuharibu kisimi wakati wa upasuaji wa fupanyonga
Je, China inaweza kusaidia kumaliza vita kati ya Marekani na Iran?
Suala la Iran linatarajiwa kuwa moja ya ajenda kuu katika ziara ya Rais wa Marekani, Donald Trump, nchini China na mkutano wake na Rais Xi Jinping tarehe 14 na 15 Mei.
Gauni lililotengenezwa kwa mikate 500 lilivyowashangaza wengi katika tuzo za filamu Afrika
Watu maarufu, watengenezaji filamu na wabunifu walionesha burudani ya kipekee katika usiku mkubwa zaidi wa Afrika wa filamu na mitindo ya mavazi.
Mashambulizi ya droni yasababisha ongezeko la vifo vya raia Sudan - UN
Umoja wa Mataifa yasema mashambulizi ya ndege zisizo na rubani yamechangia 80% ya vifo vyote vya raia vinavyohusiana na migogoro.
Nchi 10 za Afrika ya jangwa la sahara zinazoagiza silaha kwa wingi
Ingawa uagizaji wa silaha katika nchi za Afŕika umepungua kwa takriban -41%, kulingana na ŕipoti ya Taasisi ya Utafiti wa Amani ya Kimataifa ya Stockholm (SIPRI), nchi za Afŕika ya Jangwa la Sahaŕa zimeongeza uagizaji wao
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Iran na Marekani kwenye vita yenye washindi wawili
Ikiwa Tehran itaendelea kudumisha ushawishi wake wa kikanda na kuzuia kusitishwa kabisa kwa mpango wake wa nyuklia, Iran itajiona kuwa mshindi.
Je, kiwanda cha kusafisha mafuta Tanga ni ndoto inayowezekana?
Pendekezo la ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta huko Tanga, Tanzania limeibua mjadala mpana wa kisiasa na kiuchumi Afrika Mashariki, likifufua upya hoja ya utegemezi wa mafuta kutoka nje.
Zijue nchi 7 ndogo zaidi duniani
Hapa ni orodha ya nchi 7 ndogo duniani ambazo nchi hizi kwa moja moja unaweza kuitembelea karibu yote ndani ya siku moja ama kwa saa chache.
Mwanaume aliyetangazwa kufa na kuzikwa arudi nyumbani baada ya siku moja
Mwili ulipelekwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Masindi, ambapo matangazo yalitolewa kwa watu wenye watu waliopotea ili kusaidia katika utambuzi.
Baada ya ripoti ya Jaji Chande njia tatu zitakazoamua mustakabali wa Tanzania
Tanzania ina njia tatu za kuchagua kuhusu mustakabali wake, kufuatia ripoti ya Jaji Chande. BBC imezichambua njia hizo na kile kinachofuata Tanzania baada ya ripoti hiyo ya matukio ya Oktoba 29, 2025
Nani hufanya maamuzi nchini Iran?
Donald Trump ameutaja uongozi wa Iran kuwa "umegawanyika" na kusema Marekani inasubiri Tehran kuwasilisha "pendekezo la umoja".
Kwanini Afrika inataka ramani mpya ya dunia?
Togo inapania kuwahimiza mataifa wanachama wa Umoja wa Mataifa, kuja na ramani ambayo inaelezea ukubwa halisi wa bara Afrika na kutupilia mbali ramani ya Mercator.
Maswali muhimu kuhusu ripoti ya Oktoba 29 yanayohitaji majibu
Maswali kadhaa muhimu yanaendelea kujitokeza miongoni mwa wananchi na wadau nchini Tanzania yakilenga si tu kuelewa yanayozunguka kilichotokea Oktoba 29, bali pia kilichoripotiwa na tume na mustakabali wa kesho
Mambo matano makubwa katika ripoti ya matukio ya Oktoba 29 Tanzania
Ni ripoti iliyokusanywa kwa miezi kadhaa chini ya Mwenyekiti Jaji Mohamed Chande, ambayo imewahoji maelfu ya watanzania, imetumia picha na video za wakati wa Oktoba 9 na siku zilizofua.
Ripoti ya matukio ya Oktoba 29: Tanzania imefikaje hapa?
Katika kipindi cha siku 153 za uchunguzi, Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 imetembelea mikoa 11 na wilaya 21, ikikusanya ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kupitia njia mbalimbali, huku swali kuu likibaki iwapo ushahidi huo utaweza kuunganisha taifa au kufungua mjadala mpya wa kisiasa?
Iran haina namna zaidi ya kurejea katika meza ya mazungumzo
Naibu rais wa Marekani JD Vance anayetarajiwa kuongoza mazungumzo hayo nchini Pakistan, bado hajaondoka nchini Marekani na safari yake imehairishwa.
Slowjamastan: Taifa jipya nchini Marekani
Ingawa Sultan anasema wageni wanakaribishwa katika eneo la jangwa la Slowjamastan, kwa sasa hakuna sehemu ya kulala kwa wageni wanaotaka kukaa usiku.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 13 Mei 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 12 Mei 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 12 Mei 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 12 Mei 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani



























































