Barrack Obama: Maandalizi ya kumkaribisha tena nyumbani kwao Siaya Kenya

Rais wa zamani wa Marekani Barrack Obama anatarajiwa kuzuru katika kijiji cha Kogelo huko Siaya alikozaliwa babake