Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Urais wa Obama ulivyobadilisha Kogelo, Kenya
Rais Barack Obama anayemaliza muda wake atakumbukwa sana kutokana na uhusiano wake na bara la Afrika.
Baba yake Rais Obama ni mzaliwa wa Kenya katika kijiji cha Kogelo.
Sifa ya kijiji cha Kogelo iliyopo Kaunti ya Siaya, kilomita 400 Magharibi mwa Nairobi, ilizidi tangu ilipotangazwa kuwa Barack Obama amegombea urais.
Mwandishi wa BBC Muliro Telewa alitembelea kijiji Kogelo mwongo mmoja uliopita.
Amerudi tena katika kijiji hicho ili kuona kama kuna tofauti yoyote.