Barrack Obama: Maandalizi ya kumkaribisha tena nyumbani kwao Siaya Kenya

Rais wa zamani wa Marekani Barrack Obama anatarajiwa kuzuru katika kijiji cha Kogelo huko Siaya alikozaliwa babake

Bango la barrack Obama mjini Kisumu nchini Kenya
Maelezo ya picha, Bango la barrack Obama mjini Kisumu nchini Kenya
Picha ya Obama akiwa na bibi yake pamoja na dadake
Maelezo ya picha, Picha ya Obama akiwa na bibi yake pamoja na dadake wa kambo Auma Obama
Mchoro wa picha ya Obama akiwa na rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
Maelezo ya picha, Mchoro wa picha ya Obama akiwa na rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
Mchoro wa Rais wa zamani wa Marekani Barrack Obama na familia yake
Maelezo ya picha, Mchoro wa Rais wa zamani wa Marekani Barrack Obama na familia yake
Mchoro mwengine wa rais Obama akiwa na wanao Sasha na Malia pamoja na mkewe Michelle Obama
Maelezo ya picha, Mchoro mwengine wa rais Obama akiwa na wanao Sasha na Malia pamoja na mkewe Michelle Obama
Mchoro wa Bibi yake Obama Sarah Obama pamoja na familia ya Obama
Maelezo ya picha, Mchoro wa Bibi yake Obama Sarah Obama pamoja na familia ya Obama
Obama akiwa amevalia nguo za kitamaduni za kabila la wajaluo
Maelezo ya picha, Obama akiwa amevalia nguo za kitamaduni za kabila la wajaluo
Kushoto ni mchoro wa babake obama na kulia ni Barrack Obama
Maelezo ya picha, Kushoto ni mchoro wa babake obama na kulia ni Barrack Obama
Kiti cha kitamaduni cha jamii ya Wajaluo tayari kumkaribisha mwana wao Barrack Obama
Maelezo ya picha, Kiti cha kitamaduni cha jamii ya Wajaluo tayari kumkaribisha mwana wao Barrack Obama
Bango la Obama katika kaunti ya Siaya
Maelezo ya picha, Bango la Obama katika kaunti ya Siaya