Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Utamaduni wa kitoweo cha panya miongoni mwa watu wa mkoa wa Mtwara Tanzania
Watu wa Mkoa wa Mtwara kusini mwa Tanzania wanaendelea kushikilia utamaduni wao wa kula nyama ya panya ambao hufahamika Kwa Jina Maarufu kama Samaki Nchanga.
Kwa mujibu wa wakazi wa eneo hili desturi hii ya kula panya haitokani na ukosefu wa nyama nyingine bali ni utamaduni tu.
Video: Eagan Salla, BBC