Picha za kipekee za mazishi ya Papa Francis

s

Chanzo cha picha, AFP

Muda wa kusoma: Dakika 2

Umati mkubwa ulikusanyika katika Jiji la Vatican tangu asubuhi kwa ajili ya mazishi ya Papa Francis, yaliyohudhuriwa na viongozi karibu kutoka kote duniani

s

Chanzo cha picha, AFP

s

Chanzo cha picha, Getty Images

a

Chanzo cha picha, AFP

v

Chanzo cha picha, AFP

,

Chanzo cha picha, Getty Images

.

Chanzo cha picha, Getty Images

m

Chanzo cha picha, Getty Images

Inakadiriwa watu 250,000 walikusanyika katika Uwanja wa Mtakatifu Petro na mitaa ya karibu kuona msafara wa mazishi.

s

Chanzo cha picha, Getty Images

a

Chanzo cha picha, Getty Images

a

Chanzo cha picha, Getty Images

a

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Rais Trump wa Marekani na mkewe
a

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Rais wa Argentina, anakotokea Papa, Javier Milei
s

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Waziri Mkuu wa Italia, Giorgia Meloni
a

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Volodymyr Zelensky

Walinzi wa Uswisi wakiwa wamevaa sare zao zenye mistari ya njano, bluu na nyekundu wanafuatilia kwa karibu matukio Vatican. Mara nyingi wanajulikana kama "jeshi dogo zaidi duniani", kikosi hiki chenye watu 135 kimekuwa kikimlinda Papa kwa karne tano.

s

Chanzo cha picha, Getty Images

s

Chanzo cha picha, Getty Images

a

Chanzo cha picha, Getty Images

Papa Francis alieleza wazi matakwa yake kuhusu mazishi anayotaka katika wasia wake, akisema: "Kaburi liwe ardhini; bila mapambo maalum, likiwa na maandishi haya tu: Franciscus."

Kuna takriban Wakatoliki bilioni 1.4 duniani kote, wengi wao wakiwa bara la Amerika ingawa idadi ya watu wanaoongezeka kwa kasi zaidi katika Kanisa hilo barani Afrika. Wengi wao walikusanyika mbele ya runinga siku ya Jumamosi kutazama matukio Vatican.

Mara tu mazishi kumalizika, dekani wa Chuo cha Makadinali ana hadi siku 20 kuwaita makadinali Vatican kuanza mchakato wa kumchagua Papa mwingine mpya. Pia, kipindi cha maombolezo cha siku tisa, kinachojulikana kama Novemdiales, kinaaza.