Gadi Ramadhan: Mchoraji anayetumia mkaa katika kazi zake

Gadi Ramadhan: Mchoraji anayetumia mkaa katika kazi zake

Katika nyota wa Afrika Mashariki tunamuangazia Gadi Ramadhan ambaye ni msanii wa uchoraji anayetumia mkaa katika kazi zake.

Yeye ameamua kutumia mkaa tu kuchora picha zake, Je ni kwanini amechagua mkaa?

Mwandishi wa BBC Esther Namuhisa alikutana naye.