Tazama: Wizi wa pombe dukani wamtumbukia nyongo

Tazama: Wizi wa pombe dukani wamtumbukia nyongo

Kanda za CCTV zilimnasa mwizi mmoja aliyejaribu kuiba pombe katika duka moja la kuuza pombe karibu na eneo la Perth, Australia.

Mwanaume huyo alilazimika kurudisha pombe hiyo kwa muuzaji katika duka hilo baada ya kuukuta mlango umefungwa alipojaribu kutoroka nje .