Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Mvumbuzi wa Kitanzania anayeleta matumaini kwa watoto wanaozaliwa kabla ya wakati
Mvumbuzi wa Kitanzania anayeleta matumaini kwa watoto wanaozaliwa kabla ya wakati
Nchini Tanzania, asilimia 26 ya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati hufa kutokana na matatizo ya kupumua. Mashine ya msaada wa kupumua kawaida hufikia karibu $5000 na haipatikani sana nchini.
Hivyo muuguzi wa Tanzania Wilson Fungameza ameunda kifaa kilichoboreshwa kilichotengenezwa kwa nyenzo zinazopatikana kwa urahisi.
Ameiambia BBC jinsi alivyokuja na uvumbuzi huu.
Video: Eagan Sala