Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
“ Mwanangu ananiambia mama mbona wanasema wewe kadogo”
“ Mwanangu ananiambia mama mbona wanasema wewe kadogo”
Tausi Mdegela ni moja kati waigizaji maarufu nchini Tanzania ambaye alijulikana kupitia filamu mbalimbali kama vile mama ntilie na tamtihilia ya kapuni, anaelezea namna anavyokumbana na unyanyasaji mitandaoni, kazini pamoja na mitaani kutokana na muonekano wake ambao ni mfupi kwa kimo.
Tausi mwenye umri wa miaka 29 anasema kinachomuuma zaidi ni mtoto wake wa kike wa miaka mitatu ambaye amekuwa akitaniwa kutokana na muonekano wa mama yake.
Mwandishi wa BBC veronica Mapunda amekutana na Tausi na kuzumza naye.
Video: Eagan Salla