Je, ajira za Afrika zinatishiwa na Akili Mnemba?

Je, ajira za Afrika zinatishiwa na Akili Mnemba?

Kwa baadhi ya watu, Akili Mnemba ni teknolojia ya kutisha ambayo inaweza kuwafanya wengi duniani kupoteza ajira siku zijazo.

Lakini dhana hii ina ukweli wowote? Na je, Akili Mnemba inaweza kuisaidia Afrika kutatua matatizo yake, na kuwawezesha vijana kujikimu kimaisha?