Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Wanawake wa Kimaasai mkoani Arusha walivyojitosa kwenye ufugaji wa nyuki
Wanawake wa Kimaasai mkoani Arusha walivyojitosa kwenye ufugaji wa nyuki
Wanawake wa Kimaasai mkoani Arusha wamevunjwa mwiko na kuingia kwenye ufugaji wa nyuki jambo ambalo si la kawaida kwenye jamii hiyo.
Maria Shinini anaongoza kundi la wanawake zaidi ya 50 ambao kwa sasa wanamizinga karibu 100 ambayo inawezesha kupata zaidi lita kumi ya asali safi kwa kila mzinga.
Awali walikabiliana na upunzani kutoka kwa jamii ikiwemo wanaume ambao waliamini hakuna faida katika kufuga nyuki.
Video: Eagan Salla