‘Nimekuwa nikitemewa mate usoni kwasababu ya rangi yangu ya ngozi ’

‘Nimekuwa nikitemewa mate usoni kwasababu ya rangi yangu ya ngozi ’

Sarah Chan ameshinda ubaguzi wa rangi na unyanyasaji hadi kuwa mwanamke wa kwanza Mwafrika kuongoza timu ya kutathmini vipaji ya Ligi ya mpira wa kikapu ya Marekani NBA, ikiwa ni ligi ya kwanza duniani ya wachezaji wa mpira wa kikapu wenye taaluma hiyo.