Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Wanandoa wanaoendesha malori ya masafa marefu Rwanda
Wanandoa wanaoendesha malori ya masafa marefu Rwanda
Taaluma ya udereva wa matrela kutoka nchi moja hadi nyingine inahusisha watu kuwa mbali na nyumbani kwa muda mrefu, iwe ni siku au wiki kadhaa.
Hii inaweza kuathiri mambo mengi – hasa ndoa.
Lakini inakuwaje pale ambapo mume na mkewe wote wanafanya kazi hii?
Mwandishi wa BBC Anne Ngugi amekuwa nchini Rwanda ambapo amezungumza na wanandoa wanaofanya kazi hii, na kufahamu changamoto zinazokuja aina hii ya kazi.
Video: Judith Wambare