Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Unafanyaje kuhakikisha shughuli za kiuchumi hazimkwamishi mtoto kupata elimu?
Unafanyaje kuhakikisha shughuli za kiuchumi hazimkwamishi mtoto kupata elimu?
“Nilipomaliza darasa la saba mama yangu alihamisha ng’ombe na nilikua mwenyewe nyumbani na mifugo iliyobakia”.
Ni simulizi ya msichana ambaye alijikuta akiikosa fursa ya kupata elimu pindi alipomaliza darasa la saba ili kufanya shughuli za ufugaji baada ya familia yake kuhama.
Katika Makala ya Tuyajenge Wikiendi hii tunakuuliza Unafanyaje kuhakikisha shughuli za kiuchumi hazimkwamishi mtoto kupata elimu?
Ungana na Noel Mwakalindile na Hannah Mbago.