Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Muuguzi muuaji wa watoto Uingereza: Ni nini kilichomsukuma Lucy Letby?
Muuguzi muuaji wa watoto Uingereza: Ni nini kilichomsukuma Lucy Letby?
Muuguzi aliyefanya mauaji ya mfululizo nchini Uingereza Lucy Letby sasa yuko gerezani ambako atatumikia kifungo maisha yake yote kwa mauaji ya ya ukatili ya watoto saba.
Kesi dhidi yake sasa imefungwa, lakini maswali mengi bado hayajajibiwa, ikiwa ni pamoja na kwa nini aliua na jinsi gani aliweza kufanya hivyo.