Hatari:Makombora ya China yalivyofyatuliwa karibu na Taiwan baada ya ziara ya Nancy Pelosi

Hatari:Makombora ya China yalivyofyatuliwa karibu na Taiwan baada ya ziara ya Nancy Pelosi

Taiwan imeishutumu China kwa kuiiga Korea Kaskazini kwa kurusha makombora baharini kuzunguka kisiwa hicho.

Uzinduzi huo, wakati wa mazoezi ya kijeshi ya China, unafuatia ziara ya Spika wa Bunge la Marekani Nancy Pelosi mjini Taipei siku ya Jumatano.

Beijing imeitaja ziara hiyo kuwa ya kutowajibika na isiyo na mantiki ’.