'Watu wenye ulemavu hawazingatiwi vyoo vinapotengezwa’

'Watu wenye ulemavu hawazingatiwi vyoo vinapotengezwa’

Tunaendelea kuangazia masuala ya maji, usafi wa mazingira, na usafi katika Bara la Afrika. Leo, tuko Fort Portal katika eneo la Rwenzori nchini Uganda ambapo kikundi cha wanawake waashi kinarahisisha upatikanaji wa vyoo kwa wazee na watu wanaoishi na ulemavu. Anne Okumu ana ripoti hiyo.