Gharama ya Maisha: Jinsi bei ya juu ya gesi ni mbaya kwa afya zetu na mazingira

Gharama ya Maisha: Jinsi bei ya juu ya gesi ni mbaya kwa afya zetu na mazingira

Bei ya gesi imepanda duniani kote kumaanisha kwamba watu zaidi wanategemea kuni kwa kupikia. Pamoja na kusababisha ukataji miti na kuchangia mabadiliko ya hali ya hewa, pia kuna hatari kwa makazi ya watu.