Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akataa kung'atuka; 'Kuna kitu nataka kukisukuma'
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akataa kung'atuka; 'Kuna kitu nataka kukisukuma'
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amewashangaa wanaomuonea huruma na kumtaka aondoke madarakani kwasababu tayari ametimiza mambo mengi.
Mbowe ambaye pia anatetea nafasi yake ya Uenyekiti, ameongeza pia kwamba anaamini huu ndio muhula wake wa mwisho madarakani huku akisisitiza kwamba ana ndoto anayotaka kuitimiza kabla hajaondoka madarakani.