'Nilijenga nyumba yangu ndogo kwa kutumia plastiki 35,000…

'Nilijenga nyumba yangu ndogo kwa kutumia plastiki 35,000…

Indonesia ni nyumbani kwa mojawapo ya mito iliyochafuliwa zaidi duniani.

Mwanaharakati wa mazingira Gary Bencheghib alianza harakati za kukabiliana na tatizo kubwa la taka za plastiki na amejenga nyumba ndogo kutoka kwa kutumia mifuko 35,000 ya plastiki ambayo yeye na timu yake walikuwa wamekusanya katika mchakato huo.