Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Ni nini kinachosababisha mapigano katika eneo la Tigray nchini Ethiopia?
Ni nini kinachosababisha mapigano katika eneo la Tigray nchini Ethiopia?
Wakazi katika miji iliyo karibu na eneo Tigray kaskazini mwa Ethiopia wameiambia BBC kuhusu mashambulizi makali ya makombora na uwezekano wa kuibuka kwa mapigano kati ya vikosi vya serikali na waasi wa Tigray.
Hii imeweka hatarini usitishaji mapigano kwa maslahi ya kibinadamu uliodumu kwa miezi mitano.