BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Marekani na Iran zarushiana makombora, Trump asema usitishaji wa vita unaendelea
Iran imedai kushambulia meli za kijeshi za Marekani karibu na bandari ya Chabahar kujibu mashambulizi ya Marekani dhdi ya meli zake mbili karibu na Mlango bahari wa Hormuz pamoja na maeneo ya raia katika kisiwa cha Qeshm na pwani ya kusini mwa Iran.
Nguvu ya jeshi la Iran na namna lilivyojiimarisha tangu vita kuanza
Utawala wa Irani haungeweza kunusurika mashambulizi ya anga yaliyoamriwa na Trump na Netanyahu bila nguvu ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi
Iran na Marekani kwenye vita yenye washindi wawili
Ikiwa Tehran itaendelea kudumisha ushawishi wake wa kikanda na kuzuia kusitishwa kabisa kwa mpango wake wa nyuklia, Iran itajiona kuwa mshindi.
Yıldırımhan: Lifahamu kombora la kwanza la masafa marefu la Uturuki
Katika miaka ya karibuni, Urusi imetumia makombora ya balistiki ya masafa ya kati kushambulia maeneo nchini Ukraine.
Iran yatarajiwa kujibu mapendekezo ya Marekani ya kumaliza vita leo
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei, amesema pindi watakapofikia uamuzi wa mwisho, watawasilisha msimamo wake kupitia wapatanishi kutoka Pakistan.
Matumaini ya Trump ya kuafikia makubaliano ya amani na Iran yana uhalisia kiasi gani?
Tangu kusitishwa kwa mapigano kulipotangazwa tarehe 7 Aprili, Trump amekuwa akitoa ishara mara kwa mara kwamba makubaliano yako karibu kufikiwa.
Kwanini uhusiano kati ya UAE na mataifa ya Kiarabu umezorota?
Mwaka wa 2019, Falme za Kiarabu ilitangaza kuondoa majeshi yake kutoka Yemen. Hata hivyo, iliendelea kudumisha uwepo wa vikosi maalum,ili kupambana na ugaidi.
Je, Marekani na Iran wako karibu kumaliza vita?
Watalaam wanasema kuwa makubaliano yoyote ya kumaliza vita huwa vigumu kuafikiwa, na huhitaji mchakato mrefu haswa ikija katika suala la mradi wa nyuklia wa Iran.
Jinsi utawala wa Iran ulivyoimarika kutokana na vita na Marekani
Bado wapo, popote uendapo, televisheni yoyote utakayowasha, unachokiona ni sura za viongozi waliouawa nchini Iran, pamoja na wale wapya waliowekwa, picha zao zikijaa maeneo ya umma.
Je, huu ni wakati wa Arsenal?
Inashangaza jinsi Arsenal ilivyokuwa katika hali ngumu hivi majuzi, lakini sasa wametinga fainali ya Ligi ya Mabingwa.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Je, kiwanda cha kusafisha mafuta Tanga ni ndoto inayowezekana?
Pendekezo la ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta huko Tanga, Tanzania limeibua mjadala mpana wa kisiasa na kiuchumi Afrika Mashariki, likifufua upya hoja ya utegemezi wa mafuta kutoka nje.
Zijue nchi 7 ndogo zaidi duniani
Hapa ni orodha ya nchi 7 ndogo duniani ambazo nchi hizi kwa moja moja unaweza kuitembelea karibu yote ndani ya siku moja ama kwa saa chache.
Mwanaume aliyetangazwa kufa na kuzikwa arudi nyumbani baada ya siku moja
Mwili ulipelekwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Masindi, ambapo matangazo yalitolewa kwa watu wenye watu waliopotea ili kusaidia katika utambuzi.
Baada ya ripoti ya Jaji Chande njia tatu zitakazoamua mustakabali wa Tanzania
Tanzania ina njia tatu za kuchagua kuhusu mustakabali wake, kufuatia ripoti ya Jaji Chande. BBC imezichambua njia hizo na kile kinachofuata Tanzania baada ya ripoti hiyo ya matukio ya Oktoba 29, 2025
Glasi moja ya bia inaweza kuimarisha afya ya ubongo na kuongeza vitamini mwilini - utafiti
Kulingana na utafiti, lita moja ya bia inaweza kuwa na kati ya miligramu 0.3 hadi 1 ya vitamini B6.
Nani hufanya maamuzi nchini Iran?
Donald Trump ameutaja uongozi wa Iran kuwa "umegawanyika" na kusema Marekani inasubiri Tehran kuwasilisha "pendekezo la umoja".
Ukimya wa Al Qaeda juu ya vita vya Iran, Marekani na Israel una maana gani?
Baada ya mashambulizi ya 9/11, viongozi wengi muhimu wa Al-Qaeda na familia zao walikimbia Afghanistan na Pakistan na kwenda Iran.
Kwanini Afrika inataka ramani mpya ya dunia?
Togo inapania kuwahimiza mataifa wanachama wa Umoja wa Mataifa, kuja na ramani ambayo inaelezea ukubwa halisi wa bara Afrika na kutupilia mbali ramani ya Mercator.
Tume ya uchunguzi yasema watu 518 walifariki dunia wakati wa ghasia za uchaguzi Tanzania
Tume imesema idadi hyo inaweza kuwa kubwa zaidi kwani Tume inasema kuwa kuna uwezekano kuwa baadhi ya familia zimezika wapendwa wao bila kuwafikisha katika vituo vya kutolea huduma ya afya au hawakupata fursa ya kuja mbele ya tume.
Maswali muhimu kuhusu ripoti ya Oktoba 29 yanayohitaji majibu
Maswali kadhaa muhimu yanaendelea kujitokeza miongoni mwa wananchi na wadau nchini Tanzania yakilenga si tu kuelewa yanayozunguka kilichotokea Oktoba 29, bali pia kilichoripotiwa na tume na mustakabali wa kesho
Mambo matano makubwa katika ripoti ya matukio ya Oktoba 29 Tanzania
Ni ripoti iliyokusanywa kwa miezi kadhaa chini ya Mwenyekiti Jaji Mohamed Chande, ambayo imewahoji maelfu ya watanzania, imetumia picha na video za wakati wa Oktoba 9 na siku zilizofua.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 8 Mei 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 8 Mei 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 8 Mei 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 7 Mei 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani






























































