BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Jeshi la Israel limeanzisha wimbi jipya la mashambulizi dhidi ya Iran
Jeshi la Israel linasema limeanzisha wimbi jipya la mashambulizi dhidi ya ‘miundombinu ya serikali’ ya Iran.
Jinsi vita vya Iran vinavyovuruga malengo ya kimkakati ya China
China bado haijahisi mshtuko wa vita Mashariki ya Kati. Lakini tayari inahisi athari zake za awali.
Kwanini Wakurdi wanataka kujiunga na vita vya Marekani dhidi ya Iran?
Marekani inafaa kupiga marufuku usafiri wa anga ili kuwalinda wapiganaji wa Kikurdi.
Sudan: Pande zinazozozana zina sababu ya kuendelea kupigana
Historia inaonyesha kwamba vita vyote vya Sudan vimekuwa vya muda mrefu na kudumu hadi miaka 20.
Iran yatishia kushambulia kinu cha nyuklia cha Dimona Israel
Afisa wa jeshi la Iran amesema kuwa jaribio lolote la Marekani au Israel la kutaka kuupindua utawala wa Iran kupitia "machafuko ya silaha" litakabiliwa na jibu la moja kwa moja ambalo linaweza kujumuisha kulenga kinu cha nyuklia cha Dimona cha Israel.
Je, Marekani na Israel zinataka kubadilisha utawala wa Iran?
Bado hakuna dalili kutoka Marekani kuwa wamempata kiongozi mbadala nje ya Iran.
Watu 200 wafariki baada ya mgodi kuporomoka Mashariki mwa DR Congo
Maporomoko hayo yalitokea katika eneo la Rubaya, ambalo ndilo chanzo kikubwa cha madini ya coltan nchini humo.
Tetesi za soka Ulaya Ijumaa: Man City wakaribia kumsajili kiungo wa Nottingham Forest Elliot Anderson
Manchester City wanakaribia kumnunua Elliot Anderson, vilabu kadhaa vya Premier League vinamtaka Samuel Amissah wa Fulham, na Liverpool wamemtambua Yan Diomande kama mbadala wa Mohamed Salah.
'Mistari yote mekundu imevukwa': Mataifa ya Kiarabu yatajibu mashambulizi ya Iran?
Hivi ni vita ambavyo serikali za Kiarabu hazikutaka vitokee na zilijaribu kuvizuia. Swali ni ikiwa nao wataingia katika vita baada ya mashambulizi waliyoyaitaya ya "usaliti" ya Iran.
Vyakula maarufu zaidi wakati wa daku na kufunga katika nchi za Afrika
Wakati wa mfungo wa mwezi wa Ramadhani, kuna ongezeko la hamu ya kula vyakula mbalimbali.
Washirika wa Iran waliosalia ni kina nani?
Kudhoofika kwa Hezbollah kulichangia kuondolewa kwa Bashar al-Assad, na kuicha Tehran upweke.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Uchambuzi: Siku ya nne ya mashambulizi, haijabainika vita vinaelekea wapi
Ni vigumu kutabiri jinsi vita vitaisha - lakini wale wanaopigana wanajua jinsi wangependa iwe hivyo.
'Hii sio Dubai tunayoijua'
Maelfu ya safari za ndege kutoka mashariki ya kati zimehairishwa, huu ukiwa uvurugwaji mkubwa wa safari za ndege kuwahi kutokea tangu janga la Covis 19.
Wafahamu viongozi wakuu wa Iran waliouawa katika shambulio la Marekani ikishirikiana na Israel
Jeshi la Israel lilisema liliwauwa viongozi wakuu 40 wa jeshi la Iran
Mzozo wa DRC: Kuuawa kwa Willy Ngoma kunaashiria nini?
Msemaji huyo aliuawa kupitia shambulio la angani lililotekelezwa na FARDC eneo la Rubaya Jumanne usiku, shambulio ambalo liliwaacha viongozi kadhaa wa M23 na majeruhi.
Fahamu mfumo wa utawala wa Iran
Kiongozi wa kidini ndiye kamanda mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Iran na anadhibiti vyombo vyote vya usalama.
Kwa nini unapaswa kufungua kwa kula tende wakati wa Ramadhan?
Sukari inayopatikana kwa tende husaidia kuongeza viwango ya sukari mwilini kwa haraka ikilinganishwa na vyakula vingine ambavyo huchukua muda kumengenywa.
Pablo Escobar hadi "El Mencho": Je, enzi ya viongozi wa magenge ya dawa za kulevya imekwisha?
Kwa miongo kadhaa, Amerika Kusini imeshuhudia mapambano kati ya mamlaka za ndani na viongozi wa magenge ya biashara ya dawa za kulevya, viongozi wa magenge ambao wamejulikana kwa majina na sura zao na wamekuwa wakikimbia kwa miaka mingi.
Ni kwa kiwango gani China na Urusi zitasaidia Tehran iwapo mzozo utazuka kati ya Iran na Marekani?
"Inaonekana kuwa hivi sasa, lengo kuu la China na Urusi ni kutuma ujumbe wa kuzuia Marekani kutopanua zaidi uwepo wake na kuhamasisha vikosi katika eneo", mtaalam Yulia Roknifard anasema.
Tamu na chungu ya maridhiano Tanzania
Serikali inaona maridhiano kama mchakato unaohitaji utulivu na utaratibu. Upinzani unaona kama haki iliyochelewa kutendeka. Katikati ya mitazamo hiyo miwili, Watanzania wanasalia wakijiuliza maridhiano haya ni ya nani, kwa ajili ya nani, na kwa gharama gani?
Kwaresima: Kwa nini kipindi hiki 'takatifu' ni cha kipekee kwa Wakristo duniani?
Kufunga kwa wakatoliki hujikita sana kwa maisha ya kiroho na huruma ya mtu, kwa hivyo wakati wa kufunga si kubadilisha tu lishe,bali tabia na mienendo ya mtu.
Mataifa ambayo muda wa kufunga Ramadhan utakuwa mrefu zaidi 2026
Mataifa yaliyo kusini mwa ikweta yatashuhudia mfungo wa muda mfupi.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 9 Machi 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 6 Machi 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 6 Machi 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 6 Machi 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani




























































