Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Video: Kipa wa Ujerumani Muhammet Sozer afunga bao la ajabu dhidi ya England
Kipa wa Ujerumani Muhamet Sozer alifunga hgoli zuri la kisigino sekunde chache baada ya kuingia uwanjani katika mechi yao ya kirafiki dhidi ya England katika uwanja wa St Georges Park.